Kangeta Kilimo Application icon

Kangeta Kilimo 1.0.1

15.2 MB / 10+ Downloads / Rating 4.6 - 34 reviews


See previous versions

Kangeta Kilimo, developed and published by Kangeta Kilimo, has released its latest version, 1.0.1, on 2020-09-04. This app falls under the Business category on the Google Play Store and has achieved over 1000 installs. It currently holds an overall rating of 4.6, based on 34 reviews.

Kangeta Kilimo APK available on this page is compatible with all Android devices that meet the required specifications (Android 4.0+). It can also be installed on PC and Mac using an Android emulator such as Bluestacks, LDPlayer, and others.

Read More

App Screenshot

App Screenshot

App Details

Package name: com.app.kangetakilimo

Updated: 4 years ago

Developer Name: Kangeta Kilimo

Category: Business

App Permissions: Show more

Installation Instructions

This article outlines two straightforward methods for installing Kangeta Kilimo on PC Windows and Mac.

Using BlueStacks

  1. Download the APK/XAPK file from this page.
  2. Install BlueStacks by visiting http://bluestacks.com.
  3. Open the APK/XAPK file by double-clicking it. This action will launch BlueStacks and begin the application's installation. If the APK file does not automatically open with BlueStacks, right-click on it and select 'Open with...', then navigate to BlueStacks. Alternatively, you can drag-and-drop the APK file onto the BlueStacks home screen.
  4. Wait a few seconds for the installation to complete. Once done, the installed app will appear on the BlueStacks home screen. Click its icon to start using the application.

Using LDPlayer

  1. Download and install LDPlayer from https://www.ldplayer.net.
  2. Drag the APK/XAPK file directly into LDPlayer.

If you have any questions, please don't hesitate to contact us.

App Rating

4.6
Total 34 reviews

Reviews

5 ★, on 2019-09-21
Its nice at all

5 ★, on 2019-08-07
good job keep it up

1 ★, on 2019-11-22
Maono ni mazuri, lakini yapasa kuongoza watu kwa hekima na sio kuwatishia kwamba kama wasiponunua bidhaa kwako hawasaidiwi, ni bora muainishe mapema na kuliweka wazi watu waelewe, na pia inafaa sana kumjibu binadamu kwa kauli nzuri na sio majibu ya ovyo kwakua una utaalamu... Binafsi nimekua disappointed na hayo niliyoyaona na kupitia kwenu, kama mtarekebisha kauli zenu na namna ya kuwasilisha huduma zenu kwa walengwa mtafika mbali sana Vinginevyo Kila la kheri .

5 ★, on 2019-06-06
Wakulima kweli tumepata mkombozi kupitia hii app nimeipenda sana ni utatuzi wa changamoto zetu vitu kama mbolea mbegu bora dawa na utaalamu wa kilimo mbalimbali pia miche.Nimevutiwa na app hii kuwa inaweza kukumbusha kupiga dawa na kuweka mbolea hongera sana Kangeta kilimo kwa kazi nzuri.Kweli kilimo na Utandawazi☺

5 ★, on 2019-05-31
Kangeta kilimo ni App nzuri kwa kweli, imenisaidia kujua mambo mengi kuhusu kilimo,hasa maswala ya Mbolea na dawa, kila la kheri jamani..

3 ★, on 2019-06-14
ktk kipengele cha majadiliano kwann isiwepo picha ya kile mtu anachouliza kuliko kuuliza kwa maneno tyu (MAJADILIANO)

Previous Versions

Kangeta Kilimo 1.0.1
2020-09-04 / 15.2 MB / Android 4.0+

About this app

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania na Africa kwa jumla ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katika kuwapatia njia bora za kilimo na technologia.

Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.

Kutokana na changamoto za kilimo na uhaba wa wataalam wa kilimo Tumeamua kuanzisha chombo kangeta kilimo ambacho kitakuwa kinawaunganisha wakulima,wafugaji na wataalam wa kilimo kwa urahisi hata ukiwa mbali kiasi gani kupitia simu zao za mikononi

- kumsaidia mkulima kutatua tatizo la visumbufu vya mazao na mifugo kama magonjwa na wadudu waharibifu kwa urahisi na uharaka kwa kutuma picha au ujumbe kisha utapatiwa majibu haraka .
- Kumsaidia mkulima kuweza kupata masoko ya mazao yake kwa urahisi na kupitia simu yake.
- Kumsaidia mkulima kufahamu mbegu bora ,mbolea,viwatilifu ,visumbufu vya mazao,vinyunyizi kwa kutumia simu yake

2 MATARAJIO

- mkulima atapata taarifa za magonjwa na visumbufu vya mazao kutoka kwa kangetakilimo app anachotakiwa ni kutuma picha ya zao lililoathiriwa au ya mdudu anayeharibu mazao pia hata kwa kutoa Maelezo kwa maandishi tu

- pia taarifa za masoko zitapatikana kwa wakulima kupitia mfumo nilioutaja hapo juu.
Changamoto

Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43% ya idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku. Mnamo mwaka 2010 idadi hiyo ilipungua kwa nusu na kufikia asilimia 21.
Ingawa bado kuna idadi ya watu wafikao milioni 900 ulimwenguni ni wastani wa asilimia 70% ya idadi hiyo wanaishi vijijini, wengi wao bado wanafanya kilimo kwa ajili ya kula tu ili waweze kuishi.
Kangetakilimo imeona biashara ni njia nzuri ya kuondoa umasikini ambayo kila mtu anaweza kuishi na kuwa na hakiba. Kuinua kilimo ni njia muhimu katika kufikia malengo.
Fursa
Ingawa fursa ni nyingi ulimwenguni, asilimia 60% ya watu masikini ulimwenguni wanaishi Africa . Kiasi kikubwa cha ardhi ambayo haitumiki inapatikana Africa.
Wakati huo huo matazamio ni kwa idadi ya watu Africa ambayo inatalajiwa kuongezeka mara mbili ya billion mbili ifikapo mwaka 2050 . Ardhi na wafanyakazi vinapatikana . Changamoto moja itakuwa ni kutumia malighafi hii kufikia mahitaji yanayokua ya chakula .
Suluhisho linabaki katika kuongeza uwezo wa uzalishaji wa kilimo kulingana na UNFAO. Africa inauwezo wa uzalishaji asilimia 24, America ya kati asilimia 35, na Asia ya kati asilimia 36. Ulimwengu umeoa kuna fulsa kubwa ya kilimo Africa.
Mapinduzi ya kilimo Africa yameendelea lakini mapinduzi haya ya kilimo yanajumuisha na kuwafaidisha masikini wanaoishi vijijini na mipakani mwa Africa.
Mnyororo wa thamani
Wakulima wa vijijini wa Africa na nchi zinazoendelea wanapaswa kuwa ni moja ya sehemu ya suluhisho katika kuongeza uzalishaji na kuondoa umasikini vijijini. Kuna mitandao ya wakulima kulasa za facebook,twitter na istagram, makundi ya watsapp kwa ajili ya wakulima kupata elimu na huduma kupitia kangetakilimo baada ya kuwa mwanachama na kuendelea kupata huduma bure.
Kutakuwa na mtandao wa kanda utakaoongozwa na wajasiliamali wadogowadogo na wazalisha ajira mbalimbali katika ngazi ya jamii.
Tunahamasisha kubolesha maisha ya watu katika Nyanja zifuatazo;
• Afya
• Maji safi
• Maswala ya fedha
• Elimu
• Msaada wa kitaalamu
• Kujitambua/ kufahamu jambo
• Kujua jinsi ya kuanzisha jambo
• Kukuza uchumi.

App Permissions

Allows access to the vibrator.
Allows applications to open network sockets.
Allows applications to access information about networks.
Allows an application to write to external storage.
Allows an application to read from external storage.
Allows an application to initiate a phone call without going through the Dialer user interface for the user to confirm the call.
Allows an application to record audio.
Required to be able to access the camera device.
Allows read only access to phone state, including the phone number of the device, current cellular network information, the status of any ongoing calls, and a list of any PhoneAccounts registered on the device.
Allows using PowerManager WakeLocks to keep processor from sleeping or screen from dimming.