Habari ZaTanzania Application icon

Habari ZaTanzania 1.0.0

7.4 MB / 10+ Downloads / Rating 4.4 - 8 reviews


See previous versions

Habari ZaTanzania, developed and published by Vicheko Inc, has released its latest version, 1.0.0, on 2020-08-26. This app falls under the News & Magazines category on the Google Play Store and has achieved over 1000 installs. It currently holds an overall rating of 4.4, based on 8 reviews.

Habari ZaTanzania APK available on this page is compatible with all Android devices that meet the required specifications (Android 4.1+). It can also be installed on PC and Mac using an Android emulator such as Bluestacks, LDPlayer, and others.

Read More

App Screenshot

App Screenshot

App Details

Package name: com.habarimpya.tanzania2020

Updated: 4 years ago

Developer Name: Vicheko Inc

Category: News & Magazines

New features: Show more

App Permissions: Show more

Installation Instructions

This article outlines two straightforward methods for installing Habari ZaTanzania on PC Windows and Mac.

Using BlueStacks

  1. Download the APK/XAPK file from this page.
  2. Install BlueStacks by visiting http://bluestacks.com.
  3. Open the APK/XAPK file by double-clicking it. This action will launch BlueStacks and begin the application's installation. If the APK file does not automatically open with BlueStacks, right-click on it and select 'Open with...', then navigate to BlueStacks. Alternatively, you can drag-and-drop the APK file onto the BlueStacks home screen.
  4. Wait a few seconds for the installation to complete. Once done, the installed app will appear on the BlueStacks home screen. Click its icon to start using the application.

Using LDPlayer

  1. Download and install LDPlayer from https://www.ldplayer.net.
  2. Drag the APK/XAPK file directly into LDPlayer.

If you have any questions, please don't hesitate to contact us.

App Rating

4.4
Total 8 reviews

Reviews

5 ★, on 2020-06-26
Soft were hii n mzuri kwakweli.

4 ★, on 2020-07-27
Nzuri

5 ★, on 2020-04-07
good app

5 ★, on 2020-08-23
It's good

Previous Versions

Habari ZaTanzania 1.0.0
2020-08-26 / 7.4 MB / Android 4.1+

About this app

Habari Zote Mpya Za Tanzania Leo Utazipata kwa urahisi kupitia App Hii ya kiswahili.
Millard Ayotz - Habari za Tanzania Bila Mipaka- Mzee wa Amplifaya.

Kiufupi tunapenda kukuambia kuwa kupia App Hii Utapata Habari zote muhimu zinazoendelea ndani ya nchi yetu pendwa ya Tanzania.

Habari kuu Utakazo zipata ni pamoja na
Habari za michezo na soka Tanzaniaama Habari za BBcswahili na salimkikeke.

Download App hii Kwa Habari na Matukio yote Mapya Tanzania.

Hapa Utapata Matukio ya
Kisiasa,Kuhusu CCM, Chadema na Ukawa Kwa Ujumla.
Habari za Salim Kikeke
Bbc, na Salim kikeke
Uchambuzi wa mpira wa miguu bila kusahau habari za Magufuli,wasanii wa tanzania na Mengine mengi mazuri.


Kazi yangu ni kukusogezea Breakings zote, habari za mastaa, maisha, picha na videos, habari za michezo na mengine SAA 24. Habari zote za millardayodotcom zinapatikana hapa kirahisi na utapata notification kila habari mpya inapoingia.

habari za michezo
millardayo
habari

Habari zote za BbcSWAHILI Na Salimkikekee

Kupititia App Hii Utapata Habari kama:-
TZA HABARI
bongoflevanews
soka ulaya
Soka bongo
magazeti
habari daily
Bongofleva
video mpya
Bungeni
duniani
Rais Magufuli
Marekani
Hekaheka
Diamond Platnumz
Tanzania news
Millardayotz
habari za michezo


Habari Za Uhakika - Tanzania;- Ni App pekeee inayokukusanyia habari zote Mpya kama Siasa , Uchumi , Michezo , Nafasi za Ajira , Mahusiano pamoja na habari nyingine Mpya zinazojili Kila Siku.

Get All Latest News From Tanzania and All the World, From breaking news, to business, entertainment, technology, the arts and sport, all divided into clear sections, this free app lets you watch video reports, listen to live radio and read the latest updates wherever you are.

Habari, Matukio, Michezo, makala, Utamaduni, utali, Burudani, Siasa, Historia, Muziki, Wasanii, magazeti, redio, tv, Blogs.

Ungana nasi kila siku kwa habari motomoto ndani na nje ya Tanzania. Pata kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania, Habari za kijamii, Siasa, Udaku, Burudani na Mengineyo mengi.

Lengo letu ni kukuhabarisha wewe kila siku na kukupa kile ambacho kinajiri katika maisha ya kila siku ya mtanzania na wengine kwa ujumla.

Habari Mpya App hii ya kipekee inakuwezesha kusoma habari zote zilizochapishwa toka katika vyanzo vya habari vya kimataifa kama vile:-

- Bbc swahili
- Sauti ya America
- Sauti ya Ufaransa(IRF swahili)
- Sauti ya Uturuki (TRT swahili )
- Sauti ya Ujerumani (dw swahili)

Bila kusahau magazeti yote ya Tanzania kama vile:-

- Gazeti la_Mwannchi
- Mtanzania
- Rai
- Dimba
- Mwanasport
- Bingwa
- Mwanahalisi

Pamoja na blogs zote za Tanzania kama vile:-

- Udaku special
- Muungwana
- Bongo five
- Salehe jembe
- Bin zuber
- Ghafla.

Habari Zote Mpya Za Tanzania Leo Utazipata kwa urahisi kupitia App Hii ya kiswahili.

Kiufupi tunapenda kukuambia kuwa kupia App Hii Utapata Habari zote muhimu zinazoendelea ndani ya nchi yetu pendwa ya Tanzania.

Habari kuu Utakazo zipata ni pamoja na
Habari za michezo na soka Tanzaniaama Habari za BBcswahili na salimkikeke.

Habari nyingine kubwa ni kama kuhusu siasa na Soka la Bongo,muziki wa tanzania zaidi stori za Alikiba,habri za Diamond na Aslay pamoja na wengine.

Habari nyingi ndani ya app hii ni zile ambazo zinatokea kila siku nchini Furahia.

New features

Everything is Fixed.

App Permissions

Allows applications to open network sockets.
Allows applications to access information about networks.
Allows an application to read from external storage.
Allows an application to write to external storage.
Allows access to the vibrator.
Allows using PowerManager WakeLocks to keep processor from sleeping or screen from dimming.
Allows an application to receive the ACTION_BOOT_COMPLETED that is broadcast after the system finishes booting.