Soma Quran Application icon

Soma Quran 1.8

3.8 MB / 10K+ Downloads / Rating 4.7 - 51 reviews


See previous versions

Soma Quran, developed and published by SwahiliTech.net, has released its latest version, 1.8, on 2019-07-26. This app falls under the Books & Reference category on the Google Play Store and has achieved over 10000 installs. It currently holds an overall rating of 4.7, based on 51 reviews.

Soma Quran APK available on this page is compatible with all Android devices that meet the required specifications (Android 4.0+). It can also be installed on PC and Mac using an Android emulator such as Bluestacks, LDPlayer, and others.

Read More

App Screenshot

App Screenshot

App Details

Package name: com.blogspot.uislamuwangu.somaquran

Updated: 6 years ago

Developer Name: SwahiliTech.net

Category: Books & Reference

App Permissions: Show more

Installation Instructions

This article outlines two straightforward methods for installing Soma Quran on PC Windows and Mac.

Using BlueStacks

  1. Download the APK/XAPK file from this page.
  2. Install BlueStacks by visiting http://bluestacks.com.
  3. Open the APK/XAPK file by double-clicking it. This action will launch BlueStacks and begin the application's installation. If the APK file does not automatically open with BlueStacks, right-click on it and select 'Open with...', then navigate to BlueStacks. Alternatively, you can drag-and-drop the APK file onto the BlueStacks home screen.
  4. Wait a few seconds for the installation to complete. Once done, the installed app will appear on the BlueStacks home screen. Click its icon to start using the application.

Using LDPlayer

  1. Download and install LDPlayer from https://www.ldplayer.net.
  2. Drag the APK/XAPK file directly into LDPlayer.

If you have any questions, please don't hesitate to contact us.

App Rating

4.7
Total 51 reviews

Reviews

5 ★, on 2018-11-08
Thanks to Allah

5 ★, on 2020-05-17
MASHA ALLAH. App Ni Nzuri Sana ALLAH (SUBHANAHUU WATA'ALA) Awalipe Kila La Kheri Fil Dunya Wal Akhera. Nina Ziada! Nilikuwa Naomba Mutuweke Ku Share Aya Kwa Ndugu Zetu Waislam Kwenye WhatsApp Nao Pia Wafaidike. Twaomba Tafadhali. Shukran.

1 ★, on 2020-05-16
Sura Al-Alqalam mmeruka aya ya 18 na 19 mmerudia aya ya 17 mara tatu

5 ★, on 2019-07-29
Mungu awape mwisho mwema

5 ★, on 2019-06-27
Masha allah . tafsiri ni nzuri .. umejitahidi sana mpaka kufikia hatuwa hii , allah akujalie elimu na juhudi ya kutafsiri vitabu vyenginena na iwe ndio sababu ya kukuingiza peponi... allahuma ameen

4 ★, on 2019-06-25
Jaribuni sana kuiwekea kila Aya na maelezo ya maana kwa kunukuu hadhi vile vile

Previous Versions

Soma Quran 1.8
2019-07-26 / 3.8 MB / Android 4.0+

About this app

Tarjama hii imeandaliwa kwa lengo la kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kufahamu maana sahihi ya Qur-aan Tukufu, nayo ni ya kwanza ya aina yake kwa kuwa inaendana na manhaj ya Nabiy wetu Muhammad (صلى لله عليه وآله سلم) na Salafus-Swaalih; Maswahaba (رضي الله عنهم), Taabi’iyn na waliowafuata kwa ihsaan mpaka Siku ya mwisho.

Kuna mambo mengi yanayoimaizi Tarjama hii kulinganisha na Tarjama zingine za Kiswahili. Kati ya mambo hayo ni:

Imezithibitisha Sifa za Allaah (سبحانه وتعالى) zinazolaikiana na Utukufu Wake kama Alivyojithibitishia Yeye Mwenyewe na kuthibitishiwa pia na Rasuli Wake (صلى الله عليه آله وسلم) kama Sifa ya ‘Uluww (Kuweko juu), Istiwaa, Kusikia, Kuona, Mikono, Kuzungumza na Sifa nyinginezo zilizothibiti bila kuzifanyia ta'twiyl (kuzipinga, kukanusha uwezekano), wala tamthiyl (kumithilisha, kulinganisha), wala takyiyf (kuainisha; namna gani), wala tahriyf (kupotosha na kubadilisha maana), kama vile inavyojulikana katika ‘Aqiydah ya Ahlus Sunnah wal Jamaa’ah..

Imethibitisha masaail yote yahusianayo na mambo yaliyofichika (ghayb) kama Waumini kumwona Rabb wao Siku ya Qiyaamah na Peponi. Pia adhabu ya kaburi, Asw-Swiraatw (Njia ya kuvuka watu Siku ya Qiyaamah), Al-Miyzaan (Mizani) na mengineyo yaliyotajwa kwenye Qur-aan ‘Adhimu.

Tumechagua kwa uangalifu mkubwa misamiati inayowafikiana na makusudio ya Aayah.

Tumefafanua baadhi ya vipengele vinavyohitajia kufafanuliwa kama masaail ya ki-‘Aqiydah na kadhalika.

Tumeweka sababu za kuteremshwa baadhi ya Aayah au Suwrah na mafunzo yanayopatikana.

Tumetaja An-Naasikh (kinachofuta) na Al-Mansuwkh (kinachofutwa) pale tulipoweza.

Kazi yoyote ya mwana Aadam bila shaka haikosi kasoro, nasi kwa Tawfiyq ya Allaah tumejitahidi kiasi cha uwezo wetu kuepuka hilo. Tunamwomba yeyote atakayegundua kosa, au kasoro, au mponyoko wowote ndani ya Tarjama hii, asisite kutujulisha haraka awezavyo, nasi tutashukuru kwa hilo. Atujulishe kupitia barua yetu pepe: somaqurani@gmail.com

Tunamwomba Allaah (سبحانه وتعالى) kwa Fadhila Zake, Ukarimu Wake, Upaji Wake, na Ihsani Yake, Atutakabalie kazi hii, hakika Yeye ni Mpaji Mno na Mkarimu Mno.

App Permissions

Allows applications to open network sockets.
Allows applications to access information about networks.